Tanzanian RnB singer,JUX VUITTON.Also a member of a music group known as WAKACHA whereby he is the Vice-President of the group.JUX already has got hit songs like;Nimedata na wewe,Napata raha,Mwambie yeye also group hit songs like;Here we go and Facebook gal.He is also known as 'The chorus killer',JUX also is muchly known with his smartness and swag [Fashion Passions] (Juma mussa ni mzaliwa wa miaka 24 ilopita aliyzaliwa na kukulia kwenye maisha yakiuadilfu na kuchapakazi akiwa mtoto wa kiume mkubwa na tegemez kwa familia aliishtua jamii kwa kibao chake cha kwanza kilchokwenda kwa jina la NIMEDATA alichokiachia mwaka 2009 akiwa msanii chipukizi.neno JUX linalotumika kama a.k.a au jina lake la biashara lilizidi kuwa lulu nakukaa midomoni mwa wapenzi na mashabiki wengi wa mziki wa wakacha baada kuachia kibao kingine official mwishoni mwa mwaka 2010 kilchokwenda kwa jina la NAPATA RAHA kilichotawala ulimwengu wa mziki wa afrika mashariki na kati huku akiaminika na kila shabiki kuwa hakuna muimbaji r&b bongo anavaa mavazi ghali yenye thamani na kumpendeza kiasi cha vyanzo mbali mbali vya habari vikimzungumzia kuwa ndio msanii namba moja kwa kutupia expensive codes zlizokatika fashion na zenye kuupdate jamii mitindo mbalimbali mipya ya mavazi inayotamba.mbali na hapo ngoma yake ya napata raha iliwah fanya vzuri katika chat mbali kiasi cha kuchaguliwa kuingia katika kinyanganyiro cha kumgombania msanii bora wa r&b nchin kupitia tuzo za kili tanzania music awards mwaka 2012.licha kibao hicho kuwa gumzo kutokana na utaalamu wake wa kupanga ala na mashairi kwa ustadi wa sauti yake anuai yeny mahadhi maridhia kwa kuwakosha mashabiki wa mziki wa bongo halkadhalika ameshiriki kwenye collabos mbalimbali zilizowasafrisha wasanii wengi wengne kwenye kilele cha mafanikio na umaarufu wakiwepo wakina mabeste,m-rap,stamina,msamiati nk..jux amefanya nyimbo 14 akiwa na kundi lake la wakacha zikiwemo here we go,facebook girl nk..kipaji chake ni mali ya wakacha toka day one kwenye game na busara,juhudi na upeo ndio chango uliofanya kumea kwa kundi hilo hadi leo#wakacha warriors"the definition of swagg")